WAPENDWA NJOONI KUNA KUNGWI KAJITOLEA, KUTUPA DARSA BURE

Updated on May 23, 2017 in Afya & Uzazi
36 on December 18, 2016

Nilimfuata nikamueleza juu ya kijiwe na mambo tuongeayi huyu akajongea , kawasoooma kashajua nini mnataka, ila
Sasa tuko slow kichizi nina meeengi ya kuamsha kijiwe mwaka 2017 …. tutakuwa tunapeana tips na voucher za kutibiwa maradhi na kupima maradhi yetu na kuna DR wa maradhi ya kikeni yuko
Tayari kushare nasi tips…. so rudini
Darasani wapii
@lulu
@mgagani
@mama ushauri
@wife to be
@angel
Na wengineo watagini wajeee
#wanawaketuongee #kuongeadawa

 • Liked by
 • malisak
 • nagy
Reply
1 on December 18, 2016

Haujanitag nmepata wivu ūüôĄ Ahahah! Ahsnte admin

on December 26, 2016

hahahaaaaaaaaaa mbona wivu. Kataja viongozi wa darasa na wapambe wao.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 20, 2016

Nimerudi…..nikiwamiss

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 20, 2016

Nimerudi…..nikiwamiss

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 20, 2016

Nimerudi…..nikiwamiss

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 20, 2016

Nimerudi…..nikiwamiss

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 21, 2016

Nami nimejoin kijiweni

 • Liked by
Reply
Cancel
1 on December 21, 2016

mm mgeni nipo

Verified
on December 21, 2016

Karibunii wandugu tuyajenge

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
2 on December 22, 2016

tumekuja…….umesahau kukutag wakongwe hahahahahahahah

Verified
on December 22, 2016

Hahahahaha ūüėāūüėāūüėā karibuni mnapotea saana bwana niitieni lulu somo lianze

on December 26, 2016

Nipo shoga juzi jana na leo, mtandao ulikuwa majanga. Nimerudi fullmassnondo. Asante kwa kutuletea kungwi tunamkaribisha kwa mikono miwili.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
2 on December 23, 2016

Abeee, jana na leo teacher! mimi nipo na nimefurahi twaletewa kungwi, mie napenda haya mambo jamani acha tu! kungwi njooooooo

on December 26, 2016

Nilikumiss shoga kidawa.

on December 29, 2016

nipo bishosty Lulu nlikumiss pia

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

Tupo @Zeze twamsubir le kungwi!

 • Liked by
Reply
Cancel
1 on December 23, 2016

ndo mseme aaanze na lipi sijui tuanze maswali

on December 26, 2016

Kungwi atuchagulie tuya kuanza nayo. Tunamsubiri kwa hamu

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on December 26, 2016

Suzan na dogofatuma karibuni sana.

Verified
on December 26, 2016

Weraaaaaa

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 28, 2016

hilo ni jambo la maana kweli dada zeze

 • Liked by
Reply
Cancel
3 on December 30, 2016

Ndo mjiandae na maswali

on December 30, 2016

Asante sana Zeze; Basi weeleze wenginewe kuwa ningependa iwe kwa style ya maswali

on May 5, 2017

Asante kungwi kwa kujitolea kuna post yenye maswali ipo kaitengeneza mama ushauri hivyo tunasubiri majibu Kungwiiiiii

on May 23, 2017

Mie ndio mwana mpotevu haswa, duh sijui ni magu kanipoteza, sijui nimepotea mwenyewe… ila now nimerudi dada mkuu @Lulu usiniadhibu

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies