WAFUATAO WANAOMBWA WARUDI KIJIWENI

Updated on December 20, 2016 in Habari
87 on February 6, 2016

Kwako Admin. Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya Pili admin nina ombi natumai halitakuwa gumu kwako. Kwakuwa unaemail za members wote humu ndani naomba uwatumie email wafuatao; Renee; Zeze; Neema; Mama Ushauri; Specialist; Nagy; Mjane; Twiga mwenda pole; Manangwa; Ann; Happier; Candysweet; Sofia; Ashqueen; Psychologist; Angel; Shamim; Masuka; Estlyjonathan; Heleen na wengine niliowasahau ila admin najua unawajua wote. Naomba uwaambie tumewamiss sana sasa warudi, sikukuu zimeisha, mwezi dume umeisha, iliyobaki ni full mapenzi na kufurahi. Waje tusaidiane kupunguza stress zilizoachwa na mwezi dume. Natumai ujumbe wangu utawafikia walengwa. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako admin.

 • Liked by
 • fadhili yohana
 • Lulu
Reply
0 on February 6, 2016

Admin naomba univumilie wengine ni- Tuma; Joyliz; Mankhunde; Luccie; Missabed; Mrs Unknown; na Wife to be, sijui alishaolewa haya tutajuaga.

 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 6, 2016

aaaahaha Lulu am back dear mwezi dume noma mpaka MB kupata ilikua mtihani!

on February 6, 2016

Welcome back mama Ushauri. Jamani ushost ni kusaidiana mkikwama mnarudi kuomba ushauri japo wa mawazo.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 6, 2016

ahahahha aiseee sijui watu wako busy saaaana….kimedoda kijiwe

on February 6, 2016

Tuliobaki tukichangamshe na wengine watarudi. Kila mtu akichungulia hamna kitu matokeo yake ndio anayoyoma jumla.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 6, 2016

Am back Lulu…tuko pamoja

on February 6, 2016

Welcome back candysweet.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

ahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa am back mamitoooo

on February 8, 2016

welcome back dear

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

kweli kumedoda upako umeenda wap jaman

on February 8, 2016

Kutaachaje kudoda na kila anayechungulia harudi. Upako uko pale pale bidii yetu tu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

Mie nimemmiss specialist na psychologist hatari, jamani mukuje huku

on February 8, 2016

Kwakweli waje tu

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

Na kweli kumedoda mi pia nikiingia hakuna kitu, baadae nakuja na MREJESHO wangu

on February 8, 2016

Wakuleta vitu si ndio sisi jamani, ukiingia ukikuta hamna kitu wewe unaanzisha.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

Tumerudi kwa upya

on February 8, 2016

Karibu sana mona. Mje na vitu moto moto vya mwaka mpya.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on February 8, 2016

TUPOOOOOO

on February 8, 2016

Hahahahahaaaaa hampo bwana mpaka tunaomba msaada kupitia kwa admin.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on February 8, 2016

abeeeeeee juzi , jana  na leo

on February 8, 2016

Hahahahaaaaa na kesho pia

on February 8, 2016

Mie monitress nipitisha rokoo nawasilisha kwa dada mkuu @lulu

on February 8, 2016

Hahaaaaaaaa @mgagani umenichekesha sana, mbona dada mkuu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on February 9, 2016

Maana hawa wamekuwa watoro sana @lulu

on February 10, 2016

Lulu my Dear….. mie nipo kila siku napita humuuu naona kimyaaa….kupo dorooooo

em tupeane hints basiii tufanyeje kijiwe chetu hiki kichangamkeee….

cc.. Zeze

on February 10, 2016

luccie dear wachangamshaji wa kijiwe ndio sie. leta mada tuijadili. ww pia changia mada. mchango wako ni muhimu sana. humu watu tumetoka different backgrounds hivyo kila mtu akichangia tunapata mengi ya kujifunza

on February 10, 2016

Haswaaa mama ushauri nafikiri hiyo ndio maana kubwa ya hii forum wanawake tuongee tusaidiane kiusahuri na kimawazo pia.

@luccie kupita bila kuchangia mada au kutoa mada haisaidii ndio maana tunaona kijiwe kimedoda lakini kila mtu akichangia na kutoa mada mbona kijiwe kitachangamka tu. Jukumu la kuchangamsha kijiwe sio la Zeze ni letu sote yeye yake alishamaliza, ametuletea forum akaitangaza tukajiunga sasa jukumu ni la members kuifanya ichangamke au idode. Na ikichangamka tutapata members wengi zaidi. Mada mbona ziko nyingi kama hazikuhusu wewe basi hata ndugu yako au jirani yako. Ya dunia ni mengi.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
4 on February 12, 2016

Jamani niliwamisssssss nilikuwa na honeymunika , Alhamdulilah nashukuru ndoa ilipita salama namastarehe yameisha sasa ni kutenda yale niliyofunzwa na mliyonifunza hapa kijiweni…..niliwamiss sanaaaa

on February 12, 2016

Hongera sana mwali wetu, Mungu akufanyie wepesi kwenye ndoa yako. Ameen

on February 13, 2016

wifetobe tulikumiss pia enjoy mwaya yaani huu mwaka wa kwanza ndio wa kuenjoy! baby, darling, sweetie kwa sana! mwaka kesho ni mama fulani na baba fulani

on February 15, 2016

Mimi niliwamiss zaidi nikasahau password nilikuwa ukweni nilikuwa kama mgonjwa kufungua mpya nikawa naona tabu mpka nimerudi Dar kwenye diary yangu ndo nikaangalia password…sawa asante mama ushauri nawashukuru

on February 15, 2016

Asante lulu Aamin Rabillahmin In Shaa Allah Khair

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
6 on February 13, 2016

hongera WIFE TO BE , ALLAH akutangulie kwakila jambo,haya mwali wetu badilisha jina sasa ,

on February 15, 2016

Asante mpendwa , hahaha soon nitabadilisha

on February 16, 2016

Nipooooooooooooooooo. Sijapata Mwenza bado hahahahahahahahaaaaaaaa. Nimewamisijeeeeeee

on February 16, 2016

Nasi tulikumiss sana mjane

on September 27, 2016

mambo wadau

Verified
on October 4, 2016

Powa ni ajeee , jamani ndo bado mmetingwa magufuli hajawaachia

Verified
on December 18, 2016

Wapendwa njooooni tufunge mwaka na kibaraza ili 2017 …. niwaleteee kungwi proffetional humu ndani…..

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies