usafi ukeni

Updated 6 days ago in Afya & Uzazi
23 on September 10, 2015

Tusaidiane jinsi ya kusafisha huku kwa bibi,maana yanasemwa mengi wengine utie kidole wengine osha na maji tu hebu tuondoeni huu utata.

 • Liked by
 • chimwi
Reply
0 on September 10, 2015

Ninavyofahamu mimi kisayansi, uke kwa ndani huwa unajisafisha wenyewe, tunachotakiwa ni kushave vizuri kuhakikisha hutumia sabuni zenye kemikali pale unapoosha sehemu ya nje. Kingine ni kuvaa chupi safi ambayo ni kavu na unapotawaza hakikisha umejikausha na umeacha sehemu ya uke kuwa kavu. Unyevunyevu inasemekana husababisha fungus. Ukija kinyakanga sasa hapo ndio kwenye mambo nitarudi baadae kumalizia.

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 10, 2015

Kuna wengine wanashauri kuingiza kidole ili uchafu utoke, lakini ki daktari haishauriwi kuingiza vidole kwa maana uko chini very smoothlyyyyyy

 • Liked by
Reply
Cancel
7 on September 10, 2015

jamani huwa kuna ile kitu nyeupe me pia hua naogopa sana kupaingiza kidole tena kama baba watt hayupo huwa sipagusi kabisa au nkiwa naoga asbh kwenda kazin sipagusi ila usiku inabidi nipaingize tu kidole mana wakati wa tendo huwa ile kitu inashika kwenye dyudyu ya baba inakuwa km uchafu na sio fresh kabisa so huwa naingiza kidole huku namuomba Mungu tu

on September 10, 2015

Neema kitu nyeupe gani hiyo yaani nimecheka mpaka machozi yamenitoka

Verified
on September 10, 2015

haahhahahhahaha NEEMA niacheee……. SASA UNAOGOPAGA NINI ? au *GENYE zako ziko huko shost? maana unasema unaogopa pagusa ukiwa alone  eti atlist akiwemo mzee.

jamani huo utoko tunaouiita utoko ni uchafu? either ni dalili za fangas au vipi , K/mbunya unatakiwa kama ambavyo ukiingiza kidole mdomoni kinavyotoka nako kwenye Mbunya kitoke ivo ivo. UKIONA TU UTOKO mama WAHI HOSPITALI.

BE RIGHT BACK

on September 10, 2015

hahahahahhha Lulu na Zeze mmeniacha hoi pia lol! jamani zeze huo unaoitwa UTOKO sijui kwani hua una shida? naombeni jibu maana kuna dr aliwahi niambia hivo vitu vyeupe vinavyokuwaga huko ndani ni normal thing labda kama unaharufu kama hauna harufu hauna tatizo lolote, narudia tena ucheka hahahhahahha mmenifurahisha sana

on September 10, 2015

sikujua da Zeze kumbe utoko ni dalili mbaya?

on September 10, 2015

Zeze utoko mbaya ni ule unaotoa harufu ni dalili ya fungus (candida), ule usiotoa harufu hauna shida unatokana na hormonal changes after ovulation kabla ya hedhi.

Verified
on September 10, 2015

Kuna ule uchafu utokanao na shahawa ikute mtu alizisigina karanga zake mbichi na mihogo kisha apate nafac ya kuzimwaga bila kupingwa I japokuwa znayeyukaga , sasa zile zkikutana na candida dada ujue umezalisha mtindii , but kawaida inakuwa ni km maziwa tu kama asemavyo lulu hakuna harufu wala hauchafui chupi

6 days ago

😄😄😄😄😄😄😄 eti kitu nyeupe

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on September 10, 2015

Mimi huingiza kidole wakati wa period maana huwa kunakuwa na damu damu lakini siku nyingine naosha kwa nje tu

on September 10, 2015

Joy hiyo damu inayotoka kwenye pad huwa unajiingiza kidole? Si huwa inatoka nyewewe?

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 10, 2015

Kiafya huwa hairuhusiwi kabisa kuingiza kidole unatakiwa usafishe nje tu kwani kidole unachoingiza huko chaweza beba bakteria

 • Liked by
Reply
Cancel
5 on September 10, 2015

Pussy yaoshwa na maji tena baridi sio maji moto. Kama hakuna sababu ya kuingiza vidole basi usiingize tafadhali. 

Kiafya hutakiwi kuingiza vidole ila kama mjuavyo na mapenzi ya sikuhizi bila kutiana vidole ni kama vile mwanaume anaona hajakuandaa… SASA sijui kesi ya kutiana vidoele iende wapi?

on September 10, 2015

ahsante specialist ila hapo kwenye mapenzi ndio pagumu

on September 10, 2015

Hii kesi ibaki chumbani kwa wapendanao ila tuambiane fact watafute sehemu nyingine ya kutuandaa sio dole gumu linasokomezwa ukeni unaishia kuchubuka tu

on September 11, 2015

hahahhaha Lulu kwakweli kesi ya kidole ibaki chumbani

on September 11, 2015

kweli ibaki chumbani maana mmh me namuoshaga mikono lol, ila sikuingine nasahau hahhaahhahahaha unakuta ushazidiwa lol

Verified
on September 11, 2015

mh specialist UNA MAMBO… hayo mapenzi unayoyasema weye ndo yale ya kusquirst, sijua squat…. HV Iyo kazi mnayovipa vdole ULIMI hamuweziii…. tangu hii forum imeanza sijaona kokote mkizungumzia ulimi mmeng’ang’ana na madole madole.
SPECIALIST TUNAONA KAZI YA ULIMI KATIKA MAJAMBOZ

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 11, 2015

ahahaha me kidole naoshea siku nkijua nina mdinyo kama sina siingizi kidole hata uchafu unatoka wenyewe..mue mna tabia ya kujinusa jaman chukua kidole chako chukua ute nusa..maana hua unabadilika badilika ni rahis kujijua waumwa  au hauumwi..mfano zile siku za hatari ute unakua na harufu yake…bleed ikikaribia ute unachange…ukiwa safe days nako utaona utofauti tujifunze kujichunguza

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 23, 2015

Somo yangu alinambia jidole unaweza ingia ila kwa chini usiingize kule kwenye nyamanyama zile za ndani,kune kipapa kwa hapa chini panakuwaga wazi hivi na ndo shahawa na damu nyingi inakaaga pale hata ukiwa onaoga ukiingiza kidole pale utakuta zimekaa zimetulia.Ila sasa isiwe ndo mchezo kila mara kuingiza ingiza.

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on August 27, 2017

Nilisikia kuingiza kidole kusafisha tupitishe juu juu tuu pia vizur kuogea sabun kama delto na zisizo na makemikali… Kuna mahala nilisikia pia unatwanga kitunguu swaumu kisha unakifunga katika kitambaa safi halafu unaingiza ukuchin unakaa baada ya mda uchafu usiofaa unajivuta sijui ni kwel mi cjawai fanya

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 14, 2017

Samaan jaman kwa kuharibu topic husika ila namba kuuliza mafuta ya ky yanapatikana kwenye madukaa ya kawaida ya vpodoz au maduka spacial??

 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies