UNYAGO, SOMO, KUFUNDWAAA

Updated on November 2, 2015 in Mapenzi na Mapendo
48 on September 28, 2015

Jamani ckuhizi kiiiiilllllaaaaa mtuuu somoooo,,,, kiiillaaa mtu anajua kumfunda mtu,,,yan mtu ukitaka kuolewa now ni shida maana masomo wamekua kama biashara sasa..tena mtu anakupangia kabisa kwa siku laki….
Me naomben kuuliza swali…karne ya sasa ukitaka kufundwa ile haswa kma zaman wapi pa kwenda jmni..maana naskia kuna hadi lugha zake ila mchaga mie holla najua tu kifo cha mende..nataka ile kufundwa ya zaman…kujua kukatika na style zoteeee

 • Liked by
 • Neema
 • Twiga MwendaPole
Reply
1 on September 28, 2015

jamani wenye makungwi au somo wa kueleweka ninaemfahamu humu @zeze maana kunampicha wake aliuweka mpaka leo hajatuambia kitu gani embu njoo @zeze

on September 29, 2015

kama niko sahihi nadhani zeze alisema kama tutapenda aorganize hii kitu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on September 28, 2015

@zeze kama inawezekana uje utupe maujuzi…ama tu arrange kitu kma unyago but uwe veerryy private na tufundishwe yale mambo ya ndan haswaaa..tuyajue na sie…sio tu kuskia juu juu na unaambiwa hurusiwi kushare na watu…..

on September 29, 2015

@pumkin asante umenena yaani tupate yale ya ndani kweli kweli chaaa

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 28, 2015

af hata mm nlitakaga kuulizaga kale ka picha zeze hebu ukuje nassi tupate maujuzi.

 • Liked by
Reply
Cancel
5 on September 28, 2015

Zeze alishaclarify hp kuwa ile picha ilileta kasheshe na kumgwi wake msahau. Hairuhusiwi kushare vitu km vile kwny mitandao. Ni usungooooo khaaa hamuelewi. Mtanyooshwa na pasi ya mkaa km umeme wa mgao. Haaaahaaaa. Zeze tupeleke kwa kungwi wako mi nitamlipa kwa £££££🙈🙈🙈

on September 29, 2015

hahaha ashqueen hatujataka atuelezee tumemaanisha atupeleke kwa kungwi tukapate kufundwaaaa….ila isiwe ile ya matangazoo…iwe kitu organized privatly for few ppo

on September 29, 2015

haswaaaaa pumkin me pia nimemaanisha hivyo! kuona kwamba kwa kungwi wote sijawah ona ile picha kwa kweli so wa zeze atakua matata sana!

on September 29, 2015

Nasubir hivyooo

on September 29, 2015

Poa bac. Hii kitu ifanyike nxt summer holiday jmn

on September 30, 2015

kwan @zeze vepeee mbona kama umemute hutaki kuja hkuuu hahahahahaha! njoo bana

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 29, 2015

Na mimi nimo naisubiria hiyoooooooo

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 30, 2015

jaman topic ya kufundwa vp

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 30, 2015

ahahahaha..mwanataka kufundwa nyie…

 • Liked by
Reply
Cancel
1 on September 30, 2015

hahahhahaha ahsante @specilist kaniambia naitwa humu ndani nije kujibu maswali…lol
eeeeh mwaya kwa kweli nimewekewa kiti moto tangu nishee ile picha somo yangu kaninunia na nina faini hata siku nikiwaarrangie me sintoingia maana nitapewa adhabu kali , ya kuokoteshwa mizungu. naomba nikimbie foleni , ila nandaa topic kabisa ya mambo ya kufundana.  na tips kidooogo kuhusu ile picha…..BE RIGHT BACK

on October 1, 2015

eeeh ukuje tu hku maana tumekuita mpaka basi! tunasubiri tips tutashkuru kwa kweli @zeze

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
1 on September 30, 2015

EEEEEEeeee haya mambo yakufundana ishakuwa biashara za watu , me nikianza jiuliza mbona wafundaji weengi hawako ndoani??…ndukiiiiii BRB

on October 2, 2015

Zeze utaokoteshwa mpaka migabacholi shauri yako

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 30, 2015

Zeze umeongea point kubwa sana, wafundaji wengi hawako ndoani kwakuwa wanajifanya wajuaji sana. Wanaume wa sasa sio wa enzi zile mwanamke asipokatika basi hafai. Vijana wa sasa wao wana mapenzi ya kizungu zee zima linaitwa baby mwendo nikujibebisha tu bibi na bwana.

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 30, 2015

Zeze asastahiki pongezi nyingi za kutokuwa mchoyo wa elimu

 • Liked by
Reply
Cancel
6 on September 30, 2015

Kwa mambo yalivyo dunia ya leo wala msihangaike na mambo ya kutaka kufundana. Maana kikubwa unachofundwa unyagoni ni kumtumikia mume kama yeye ndo kila kitu maishani mwako. Sasa kwa miaka ile ya mama zetu somehow ilifanya kazi ila sio kwa kizazi hiko cha watu kuoana mchanganyiko.

Mambo ya kuzingatia katika kuimarisha mapenzi wala sio kukata viuno ni mapenzi ya kweli. Of course swala la kungonoka lipo ila ahalishikilii ndoa au mahusiano. Ni upendo wa kweli. 

Viuno na mazaga zaga mengine ni bonus tu ya maloveeeeee

on September 30, 2015

Swadakta specialist mie nakupendea hapo tu.

on October 1, 2015

kweli kabisa @specialist mwengine ukikatika anakwambia hebu pumzika maana anaona unajichosha hahahhahah

on October 2, 2015

Tena wanaume wengine anakwambia “wee vipi usiniletee mambo ya kimalaya hapa, kukatika gani sasa huko unafikiri uko kwenye kibao kata” linabaki limekushuka. Mkatiko mzuri ni ule unaokuja naturally kufatia rythm ya mtom..no, sio tena mtu umekremisha lazima ukatike mb.. hata haijaingia vizuri ushaanza mwisho wa siku unaichomoa, tena ukute ndio kibamia basi balaa linazidi kuwa kubwa.

Verified
on October 2, 2015

hahahahha mambooo ya kukata mauno utaambiwa usije nikatia Mbooo …ndukiii

on October 2, 2015

Lulu umeniacha hoi….hata haijaingia uaanza kukatika toba…

on October 2, 2015

Ndio mgagani si ndio umeshakremishwa ukiwa kwenye 6 kwa 6 lazima ukatike hayo ndio matokeo yake. @zeze umenichekesha, kweli unaweza baki na kifaa cha watu mauono yasiyokuwa na mpangilio

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on October 1, 2015

Huko instagram ndo mpaka keero kila mtu kungwi alafu wanapokosea makungwi wa siku hiz wamekazania style tuu za mapenzi wakat kuna mambo kibaoo ya kumfundisha mwali kama usafi jinsi ya kuongea na mume uzazi wa mpango na kadhalika ndoa siyo kutiana tuu kuna mambo kibao

 • Liked by
Reply
Cancel
4 on October 1, 2015

eheeeee wengi wameachika…na wengi unakuta ni michepukiwaji…insta kuna wale wafundaji hua wananichoooooosha balaa wanavyohakikishia watu wataolewa..while wao ni siiiingle forever..ndio unafata masomo yao unaenda mfanyia bwana anakuhisi unamgangia ahahahah

on October 1, 2015

hahahahaaa! unyago au kufundwa ilikuwa enzi zileeee sku hz ni kibiashara zaidi. Unakuta huyo mfundaji hajaolewa, watoto  kila mmoja na baba ake. Mabinti zake hawaoleki!!!. As walivyonena hapo juu ni jinsi utakavyomuhandle hubby wako. Utakazana na minenguo yako huku mchafuuu, nyumba vururuvururuu huna maendeleo mtu busy na mashughuli ya mjini na misare/midira isiyo na idadi  utaangalia saa ngapi nyumba yako, atabuni njia ipi ya maendeleo kwa familia. especial Elimu. Mie Mtanga hayo mambo walaaaa tumejifunza wenyewe tumeoleka more than 24 yrs na watt juu mpaka Mume kanifia. Ndoa ni ubunifu wako tu na kuwa makini kiakili na maarifa. Am done bbyyyyy

on October 1, 2015

Asante mtanga mwenzangu.

on October 2, 2015

Kweli kabisa mjane, makungwi wa siku hizi wala sio kabisa kwanza wenyewe misungo tu. Umkute nyakanga haswa wale wa enzi zile kwanza kwa wao ilikuwa mwiko kabisa kuongea hizo habari hadharani. Na zamani ilikuwa ukiingia unyagoni unapewa package nzima kukatika ilikuwa ni moja kati ya vitu vilivyokuwemo kwenye hiyo package. Cha ajabu wanawake wa kisasa wao wanaona kukatika ndio kila kitu kwenye ndoa, ingekuwa hivyo basi kila mcheza shoo angekuwa na mume.

on October 2, 2015

Mi nakumbuka kungwi wangu aniambia haya ninayokwambia ukiyatos utakuwa mkichaaa. Mweeee niliogopaje sasa. Watu wakihadithia mambo ya unyumba mi naweka mkono mdomoni lisije kunitoka nikawa kichaa bure.  Wacha mashoga zangu waniite mchoyo wa elimu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies