TANGAZO !! TANGAZO !! TANGAZO!! tushauriane Wadau

Updated on May 18, 2017 in Mapenzi na Mapendo
28 on September 7, 2015

LOL kutokana na hizi topic/post anazopost specialist wetu , maana shurti anatupia na picha kusindikiza topic zake, tumeonelea tufunge hii forum….Hahahahah msije nichinja

yaani sio kuifunga as haitakuwepo, bali kuifunga na kuruhusu member tu kuweza kusoma na kuingia yaani isiwe ya kila mtu . mambo ya maadili na usiri ili anaeingia awe kadhamiria …AU Nyie mnashaurije

Najua kuna wanaoingia humu kusoma tu , lakini hawajajisajili …na nyie mliojisajili ambao hata hamlike …..Nitawanyoosha ….KIDDING

 • Liked by
 • malisak
 • luccie
 • tuma
 • QUEEN
 • kamwali
 • +5
Reply
2 on September 7, 2015

Hahaha basi sawa. Au tusiandike topic hot hot

on September 8, 2015

hapana aisee ziandikwe hot hot ila @zeze inabidi uwanyooshe tu hao wanaojidai madiva

Verified
on September 8, 2015

weee speciliST TENA TAFADHALI MWAGA MADESAA  , NA HIVI SIE WAVIVU WAKUSOMA PICHA NDIO ZENYEWE TUELEWE KINAGA UBAGA…ILA PICHA ZINGINE TARATIBU….tutakuja DM …tcra WAKO Around ze corner ….ndukiii

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on September 8, 2015

ni good idea maana wengine tunaogopa kuchangia ujue.

Verified
on September 8, 2015

KUCHANGIA sio issue, sababu wote tunamjua chechize, so jiachie, nimeona watu wanajiachia na kupata uhuru wetu ni vyema kila anaeeingia humu ajue anachofuata asiwe kama kwa bahati mbaya …sababu huku ni uwanja wetu wakuongea yetu

on September 8, 2015

Chechize jimwage mama kwa raha zako huku tunajuana kwa id zetu ila kujua specialist, lulu, renee, chimwi au neema ndio kina nani wanaishi upande gani mwa dunia wana rangi gani wala hatujuani. Cha muhimu sisi sote ni wanawake tunashauriana, tunakosoana, tunarekebishana, tunatoa yetu ya moyoni na mwisho wa siku tunafurahi pamoja.

on September 11, 2015

aiii mmenipa nguvu sana thanks a lot

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 8, 2015

Gud idea Shamim

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 8, 2015

nakubaliana na wewe

 • Liked by
Reply
Cancel
3 on September 8, 2015

Itakuwa powa Shamim ukifanya hivyo, kwanza nilishtuka uliposema unaifunga, nilishusha pumzi nzito nilipomaliza kusoma.

Verified
on September 8, 2015

hahahhahha LULU najua we loyal member, almost tumeanzisha wote limebeneke, siwezi ifunga aiseee huwezi jua imewapaje watu faraja hii kuongea…..ndo maana nataka tuirekebishe isiathiri wengine na tulinde maadili

on September 8, 2015

Asante sana Shamim kwa kutambua uwepo wangu wanawake kwa pamoja tunaweza. Ni kweli kabisa maana specialist mmmh sisemi, bora tuifunge watoto wetu wasikatishe mitaa hii tubaki wenyewe tujimwage. Kwakweli hii forum ni mwl tosha mimi tangu nimejiunga nimejishafunza mambo mengi sana kupitia wanawake wenzangu. Shamim ubarikiwe sana kwa hii idea ya kuanzisha forum.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 10, 2015

Iwe member tu maana hizi ni hot hot sana Zeze

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 11, 2015

Itakua vzuri da zeze nakubaliana na wwe

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 11, 2015

wazo zuri

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 11, 2015

goodgood idea

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 13, 2015

Naunga mkono

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on September 21, 2015

Ni vizuri iwe private. Coz nilipokuwa uraiani yaani password ilipokorofisha nilikuwa naweza kusoma everythng xcept commenting so ikifungwq iwe for members only itapendeza zaid kutokana na km zeze alivosema ina very sensitive topics

 • Liked by
Reply
Cancel
1 on October 19, 2015

naomba kujua vigezo vya kuwa membr

on October 20, 2015

Kuchangia tu umeshakuwa member wewe jimwage kwa raha zako. Karibu sana missabed kwenye stress free zone huku ni kufurahi tu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
0 on October 19, 2015

manake ki ukweli wanaweza jiunga hata watt humu

 • Liked by
Reply
Cancel
0 on October 19, 2015

Usiri ni muhimu ili tujiachie lol…Asante @Zeze je vi emoji navyo vipi?

 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies