SWALI NA SHUKRANI KWA ADMIN

Updated on October 2, 2015 in ShostiTalk
79 on September 30, 2015

Naona kuna mabadiliko kidogo, mwanzoni ilikuwa zile post mpya ndio unazikuta zimetangulia juu, sasa hata post ya mwaka 47 mtu aki-comment tu inakuja juu. Je hii kitu inatokea kwangu tu au na kwa wengine? Pili nashukuru kwa kuondoa maduara kwenye id zetu na kutuwekea wadudu na hivi nawaogopa basi raha tu. Yangu ni hayo

 • Liked by
 • Mgagani
 • mama ushauri
Reply
1 on September 30, 2015

hahahaha lulu umetisher eti wadudu

on October 1, 2015

Mdudu wako hapo anavuta sigara au ndio pozi?

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on September 30, 2015

Lulu wadudu wamekutisha eh hahaha sasa fanya ivi kuwa kama unaedit profile yako utaona option ya kubadirisha hiyo profile pic yako alafu waweka yoyote ile. Ila mdudu wako nimempenda Lulu

on September 30, 2015

Asante specialist, basi kama mzuri wacha nimuache ila namuogopa, Zeze kaniweza kweli.

on October 1, 2015

Alafu @Lulu mdudu wako kama ana Busha hivi au naona vibaya hahahahahahh….

on October 1, 2015

Yaani hata simuelewi, yaani Zeze kweli katuweza mwaka huu. Nikimuangalia mdudu wa estlyjonathan, politewoman, nijoes, chimwi, Jirani  wa sofia tena na mapembe juu yaani nacheka mpaka basi.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on October 1, 2015

hhahahahah kumbe mmewekewa me nikajua mmeweka wenyewe hawa waduduu lol @lulu umenichekesha saana

on October 1, 2015

Tumewekewa shoga, si kwa wadudu hawa, wengine rasta fari, wengine wamevaa kanzu yaani Renee mie kila nikiingia huku lazma nicheke kwanza.

on October 1, 2015

ndio muweke picha mnazo zitaka jamani kubadilisha ni rahis mno! kawapamba mwenyewe admin kuliko zile rangi lol! @lulu

on October 1, 2015

Sibadilishi ng’oo nimeshafall in love na mdudu wangu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
5 on October 1, 2015

Hii ya wadudu kibokooo . Lols

Verified
on October 1, 2015

Hako kamdudu kako sasa @manangwa hahaha

on October 1, 2015

Kadudu ka manangwa kana mapembe na meno kama nguchiro, viguu kama fidodido.

on October 1, 2015

mdudu wa @Managwa ndio kichekesho kabisa yaani fidodido

on October 2, 2015

macho yake yana x hahhahaha

on October 2, 2015

renee nilikuwa sijaona macho x loo admin kaua

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
4 on October 1, 2015

Renee naona wewe uliamua kutuwekea matako sasa ukavalishe kiuno shanga hicho alafu ukiweke….

on October 1, 2015

Hahahahaha mgagani umeua nafikiri renee ujumbe umemfikia

on October 1, 2015

shanga zipo unataka mpaka uzione jamani! zile zaonekana sita kwa sita tu! hahahahahaha unataka niweke mambo hadharani lol @mgagani ntakuwekea usijal

on October 1, 2015

Renee basi mama ila kiuno mhhh

on October 1, 2015

hatari weka mbali na watoto hii @mgagani

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
6 on October 1, 2015

Lol mi mdudu wangu ht simuelew

on October 1, 2015

happier wewe ndio umefunga kazi kwa mdudu wako uwiiii ulimi huyo mikono ipo kichwani hana kiuno, miguu tobaa nacheka tu mie

on October 1, 2015

Kweli mdudu wa happy naona huyo ni virus kama sio bacteria hata umbo hana

on October 1, 2015

Mgagani umenichekesha,wako mzuri Ana lipstick,lulu wako anavuta sigara lol

on October 1, 2015

wa Lulu ana Busha ujamwangaalia vizuri @Happier

on October 2, 2015

miguu yake kama ya kuku hahhahahahahha uwiiiii

on October 2, 2015

Ha ha ha

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
5 on October 1, 2015

hizi network za kutafuta n shida nimepitwa mengi…asante admin mdudu wangu very sexy n i know it

on October 1, 2015

Nagy usijipe moyo, miguu kama ya bata macho sasa kama gololi

Verified
on October 1, 2015

Lulu umeaamulia wenzio – wewe wako crab sijui ulaya unaliwa ujue lol

on October 1, 2015

Acha tu mbona nimeshakuwa tajiri hata nikiamua  kumuuza kwa wachina.

on October 2, 2015

nagy mmmh hapo umbo lako kama yai au zerooooooo hahahahaha usexy uwapi hapo  lol

on October 2, 2015

Umbo yai vimikono fito hapo sasa

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
4 on October 1, 2015

ahahhahahahahhaha mi itabidi nitoe hichi kikuba nione ADMIN kanichagulia DYU DYU gani aiseeeee .

ADMIN bado sasa twataka viemoji  vya kucomment kile cha kuficha uso na kutoka nduki me vitanihusuu mnoooo

shukran na kwako lulu kwa kumpa moyo na nguvu admin aone kazi anayofanya ikawa inaonekana

lulu nilikumisssijee

on October 1, 2015

Bora umekuja Zeze hata mimi nilikumiss sana, naona tunapishana tu sijui ndio ubize wa majukumu ya kazi, biashara, kutunza watoto wadogo na mitoto yetu mikubwa tunayolala nayo basi tafrani. Imebidi tu nimshukuru admin, maana hivi vidudu mie kila nikiingia humu nina kazi ya kucheka tu.

on October 1, 2015

Zeze siku hizi anaingiza pua tu anatoka yaani zeze ukuje huku  kwani Lulu ataki hilo busha na vinywele viwil…..mie kila daika nacheka mwenyewe sijui watu wananiona chizi …

on October 2, 2015

sio busha jamani umbo lake la chini kwa chini hapo maana miguu ipo kwa kati kama kobe vileeee hhhahahahahah

on October 2, 2015

Bora unitetee rene hawajui kuwa mdudu wangu kavaa pampers

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on October 1, 2015

Nimewamiss sana humu ndani.

on October 1, 2015

Nasie tumekumiss sana candysweet mwenyewe na kidudu chako cha jicho moja.

on October 2, 2015

kama mchawi kalabaaaaaa! tumekumiss pia candysweet

on October 2, 2015

Hahahahahaha Renee we kiboko umenikumbusha tetemeka kwa furaha, tetemeka kwa fujo, anakuja KALABAAAA. Hiyo katuni noma, mtoto wangu wa 4 years alikuwa anaiangalia karibu kila siku nilikuwa siifuatilii mpaka nikaijua mbaya zaidi mnalazimishwa kuimba nyimbo zote za kirikuu, kweli wa mama tunakazi.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
2 on October 1, 2015

Yaani Lulu acha tu,katikati ana kitundu ati mdudu wangu.

on October 2, 2015

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimeona sio tundu la naniliu hilooooo na vinywele vya kipepeo

on October 2, 2015

Vimiguu sasa, jamani admin, njoo ututajie aina za hawa wadudu.

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
3 on October 2, 2015

lol mi sijui sufuria, au sponge bob au crocodile admin umetishaa

on October 2, 2015

SUFURIA halafu linafuka moshi  ahahhhaahh

on October 2, 2015

Imebidi nicheke kwanza chechize mdudu wako nilikuwa sijamuona, loo hilo sasa sufuria liko kwenye mafiga lina maji na yanachemka. Cha ajabu lina vimacho na kiulimi chekundu kweli admin katisha

on October 2, 2015

hii surufuria ya @chechize ina hadi mikono ya kuipulia sasa hicho chekundu mbele ni nini @Lulu? je na ule mkia

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
4 on October 2, 2015

hahaaa mecheka kweli na hawa wadudu..

on October 2, 2015

Yaani lazima ucheke mie nilivyowaona mara ya kwanza nilicheka mpaka machozi yalinitoka. Mweee si kwa wadudu hawa wa admin

on October 2, 2015

huyu mdudu wa @amyluv mbona asomeki jana nisaidie Lulu

on October 2, 2015

@Mgagani, mwenzangu hata mimi nimeshindwa kumsoma naona nimuachie admin aje atusomee. Mhh naona apo mbele sijui kijololo (mb..) kinamwaga wazungu au ndio kinatoa jojojo?

on October 2, 2015

kweli @lulu nimekiona kijololo (mbo**) tobaaa Adm ametuletea vunja mbavu wallah mie sina mbavu

Show more replies
 • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies