Mumewangu ananipenda sana lakini ananichukia sana

Updated on January 30, 2017 in Mapenzi na Mapendo
4 on January 20, 2017

Naitwa <Mpenziwangu> ndio jina langu halisi nililopewa la bibi yangu Nimezaliwa jiran na Tanzania na sasa ni Mtanzania wa kuhamia.
Nipo kwenye ndoa mwaka watatu sasa. Nimeolewa na kijana niliekua simfaham wala yeye hakuwahi kunifaham kabla, Sikumoja nimekaa nyumban kijijini nacheza napiga story na mabinti wenzaku waliku wamekuja kunitembelea wote niwadogo kwangu kiumri. Mama alikua ametoka kwenda kwa jiran Gafla nikasikia anakuja huku akifurah kumbe alikua amefuatana na wageni watatu, wageni hao alikua Rafiki yake MAMA ktk Biashara pamoja na mtoto wake wakike wakiwa na kijana ambae sikuweza kumfaham. Niliingia ndani nakuchukua kiti, viti vya chini vya kijijini na kuwakaribisha. Baada ya muda wa lisaa limoja wakaondoka walilala kwa jiran yetu mtaa wapili. Na keshoyake kwenda mkoa mwingine ambao ni mji mkuu wa  Nchii yetu. Huko niliambiwa kuna ndugu za mama wa yule kijana. NILiulizia nikaambiwa yule kijana amekuja kuangalia wachumba ambao wapo huko mjii mkuu.
waliporudi siku ya tatu, Niliitwa ndani muda huo kijana akiwa njee . MAMAYANGU alinambia kua KIjana alie hapo njee ameleta barua ya uchumba, na leo ndio wanarudi Tanzania. Nilishtuka. Sikuamini kwani sikudhania kama analengo hilo. Ok, sisi wazazi wetu tunawashimu sana sana .
Toka siku hiyo sikuwahi tena kuonana nae tena hadi baada ya mwaka mmoja siku moja kabla ya ndoa,

Ukweli nikua Nilifunga nae ndoa baada yahapo tumeishi nae nje ya mkoa walipowazaz wake ndiko anakofanya kazi, tumeishi wawili kwa muda wa mwaka mmoja.

Nilikua siyajui mapenzi hadi kufikia hapo, lakini nadhubutu kusema kuna dalili zote kua nilipata mume mwenye kujua mapenzi na mwenye upendo mkubwa kwa familia yangu, NA zaidi nikua ananielekeza kwa kila napokosea, tena kwa utaratibu mkubwa na mahaba makubwa,
Baada ya ndoa Nimejikuta mimi natatizo ambalo naamini nilikua nalo kabla ya ndoa japo nilikua sijijui.

MUMEWANGU AMEKUA AKIJITAHIDI SANA KUNIANDAA KTK TENDO LA NDOA LAKINI SISIKII ILE TAMAA YA KUPENDA TENDO LANDOA, ANAJITAHIDI KUNISHIKA KILA KONA KWA STLY ANAZOJUA LKN SISIMKI HATA . HATA NIKISHIKWA KWENYE KINENA (harage) NDIO KWANZA NAKEREKA, LKN SIPATI MSISIMKO WOWOTE, YEYE ANANYEGE ZA HARAKA, KILA AKINIONA UUME WAKE UNASIMAMA IMARA, ATAAMUA KUNIINGILIA HIVOHIVO ILI KUTIMIZA ADA YAKE. LKN NA ANATAKA KILA WAKATI ANAPOKUA NYUMBANI. LKN MIMI SIPO, JAPO SIKU MOJAMOJA HUA BAADA YA KUINGIZA NDIO KWA MBALI NAHISI,
MUME WANGU ANANIAMBIA WEWE UNATATIZO ONGEA ANALETA DAWA, JAPO MI PIA NIMVIVU WAKUTUMIA DAWA, MUMEWANGU ANANITAMFIA VYAKULA MBAI MBALI LKN LKN SI MFUATILIAJI WA KUTEKELEZA MAELEKEZO ANAAYONIPA. AMEANZA KULALAMIKA NA KUNIONA KAMA MIMI NADHARAU KWAKE. BAYA ZAIDI NAMUONA ANAANZA KUNIKASIRIKIA MARAKWAMARA,
ANACHOLALAMIKIA NIKUA. MIMI SIJUI KUISHI NA MUME,SIMUHESHIMU, SIJUI USAFI, SIJUI KUBEMBELEZA, SIJUI KULEA FAMILIA,SIJUI HUYU NI MUME AMETOKA KAZINI NIMFANYEJE, HATA MAJI YAKUOGA SIMUANDALII, CHAKULA SIJUI KUPANGILIA, HADI ANALAZIMIKA KUINGILIA KATI JIKONI NA KUFANYA MPANGILIA WA CHAKULA MWENYEWE.
KWA SASA TUMEJALIWA WATOTO WAWILI. LKN WA KWANZA BABAYAKE NDIE ANAHUDUMIA KILA KITU SEHEM KUBWA, KWA KUJUA AAMKE SANGAPI, ALALE SAANGAPI, ALE NINI, MIMI ANALAUMU SIJUI KULEA MTOTO.

NAOMBA MSAADA MKUBWA KWENU:
1:RAHA YA TENDO LANDOA IKOJE HADI NAONA WATU WANAJIUA AU KUFANYA MATUKIO MBALIMBALI AJILI YA TENDO LA NGONO.
2: NISHAURINI NIVIPI NIWEZE KUISHI NA MUME, YAPI YANAFAA KUMFANYIA MUME AWEZE KUA NA RAHA NA NDOA. (hadi mawifi zangu wanasema nihamie dar ilinihudhurie shereh mbalimbali za kuwafunda wanawake wanaoolewa inamaanisha wanapokuja hapa wanaona mapungufu yangu,)
3: KAMA SIJISIKII KUFANYA TENDO LA NDOA AU SINA NYEGE, NINI ITAKUA SABABU AU TIBA YAKE NINI.?
4:  Nifanye ninini nifurahie Ndoa yangu.?

Kiufupi najiona kasoro moja tuu labda ya udhaifu ktk tendo la ndoa.
MUMEWANGU NI MKIMYWA SANA NA NAHOFIA IPOSIKU ATAAMKA NAKUNIPA TARAKA .KWA SASA ANAWAPENDA WATOTO WAKE SANA ZAID.

KWA SASA AMENIAHIDI HAZAI TENA NAMIMI HADI ATAKAPO AMUA TENA YEYE. NA WATOTO WAKIANZA SHULE MWEZI WA SITA ANANIPA ANANIRUHUSU NIRUDI NYUMBANI KWA MUDA,

MUME WANGU ANAPENDWA SANA NA WATENJA WAKE WENGI WAMBAO NI MABINTI WAKIARABU, NIMUWAZI SANA KWANGU AKIONESHA KILA DALILI KUA ANANIPENDA MIMI PEKEE,.

NISAIDIENI TAFADHALI, KWELI MIMI SIKUPATA MAFUNZO YOYOTE NAMNA YA KUISHI NA MUME.
MI NAMCHUKULIA POA TUU LKN NAHISI MBELENI ATANIPIGA CHINI AU KUNITELEKEZA.

  • Liked by
  • Mai
Reply
0 on January 23, 2017

pole sana Mai. ukipata mume anayekuthamini na kukupenda mshukuru sana mungu. mana ndoa za siku hizi ni mtihani. ngoja wajuzi wa ndoa  na dondoo zake wake wakupe mana ya ndoa

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 24, 2017

Mai Mai Mai! nimekuita mara tatu, ili kuweka msisitizo. ngoja niweke majibu yangu kimpangilio pia nitajitadi nisikuhukumu maana makosa sio yako
1. Naomba kuuliza umri wako ili tujue jinsi ya kukushauri. naona uliolewa ukiwa mdogo sana maana unasema mchumba alipokuja mara ya kwanza alikukuta nje UNACHEZA. hivyo naamini ulikua chini ya miaka 18.
2. Natamani kujua mila zenu kwamba kabla ya msichana kuolewa je kuna mafunzo yoyote anapataga?
3. Je ulilelewa na mama peke yake au na baba pia alikuwepo?
4. Je unampenda mume wako na unatamani aendelee kuwa wako?
majibu ya maswali haya yatafanya tuweze kukushauri kirahisi.
Ninachoona tatizo ni kwamba haukufundwa wakati wa kuolewa. ukiacha swala la tendo la ndoa, hayo mengine ni mambo yanayowachosha sana wanaume. hivyo solution ni kutafuta kungwi akufunze mambo ya ndoa na jinsi ya kitunza mume. tunaye kungwi humu ndani omba namba yake ya simu uwasiliane naye atakusaidia. sikulaumu kwa chochote bali namlaumu mama yako kwa kiasi kikubwa sana. kiufupi alikuoza kabla hujawa tayari kiakili. hivyo ili usimpoteze huyo mume hakikisha unafundwa fastaaaaaa

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 24, 2017

pole mai…kuna mfundaji tuliambiwa sijui analetwa lini?

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 30, 2017

duh ndefuuu summary plz

  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies