MUME WANGU NI DHAIFU KITANDANI NIMEGUNDUA BAADA YA KUFUNGA NAE NDOA

Updated on June 2, 2017 in Mapenzi na Mapendo
16 on December 15, 2016

Salaam wapendwa mimi ni msichana wa miaka 23 nimeolewa mwezi huu na nimegundua mume wangu hawezi kurudia round ya pili na baada ya kumuuliza kama aliwahi kuugua magonjwa ya zinaa yaliyopelekea hali hio lakini alikataa na kuwa muwazi kwangu na kusema kuwa alikuwa akijichua kuanzia kubahe kwake mpaka ameoa amenifahamisha kuwa ameacha kujichua mwezi mmoja kabla ya ndoa yetu, naombeni msaada nifanyen kitu gani kuokoa ndoa yangu maana mimi nampenda sana mume wangu na sipo tayari kumpeteza kwa namna yeyote na kikubwa mume wangu ni muwazi kwa asilimia kubwa hivyo naombe ushauri

  • Liked by
Reply
2 on December 16, 2016

Pole sana shosti ila nadhani kujichua sio sababu kubwa kumfanya ashindwe kwenda round ya pili au zaidi. Mnaweza mwona daktari kwa uchunguzi zaidi au la mboreshe aina ya vyakula mnavyokula ili kuamsha libido ( hamu ya mapenzi zaidi)

on December 16, 2016

lakini yeye amenieleza amekuwa akijichua kwa kipindi kirefu hii haiwezi kuwa sababu ya mishipa ya sehemu zake kukosa nguvu?

on December 26, 2016

Kama alivyokushauri specialist tafuteni dr wa maswala hayo ili aweze kuwashauri zaidi kwenye upande wa kitaalamu. Pia kula aina ya vyakula vinavyosaidia kuamsha mambo nayo ni muhimu sana. The good thing mumeo amekuwa muwazi hiyo itawasaidia sana kutatua hilo tatizo. Kwa kuanzia atumie vijiko viwili vya chai vya unga wa mlonge kila siku. Anaweza kuchanganya na uji au maziwa mtindi.

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
4 on December 16, 2016

sasa shost hapo sijaelewa tatizo wataka apige goli mbili mfululizo au hakufikishiii? maaana ye hata aende goli sita mfululizo kama we uko ziro its nothing…..kikubwa akuandae weye akufikishe au mfike woote.
au mie ndo sijaelewa?

on December 18, 2016

ikiwa ataniandaa hata kwa dakika moja atafika kileleni wakati mimi ndio nahitaji vitu vyangu yeye anakuwa hawezi tena

Verified
on December 18, 2016

Ndo hawezi tena Hadija Kesho yake tena eeeee….. Mh Sasa Huyo tumuweke Kundi la mfadhaiko au? Maana Kama Akiwa anakuandaa anamaliza ISO Genye za kihindi…. Kabila Gani ? Au la umbebe apewe zile Dawa za kuchelewa kuja… kuna moja hivi kutoka congo, nilisikia mahali wanaisifia😂😂
.
.
Tena wazee watu wazima wanajitapa pesa yao haiendi bure , ‘maana naonwanawakomoa lisaa lizima wako kiunoni wanang’inia 😂😂

on December 19, 2016

kabila lake silijui ila mama mzigua baba mwarabu wa oman

Verified
on December 26, 2016

Mh shoga angu hao ndo wale wale…. enzi za ujana niliwahi kutana na ponchoro yaani alikuwa akiona paja wazungu
Haoooooo…. 😂😂😂

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

pole bishosty, hilo tatizo lake kama anakubali kumuona dr itakuwa vizuri zaidi. maana mara nyingine pia linakuwa la kisaikolojia. hivyo basi hakikisha anaenda hosp na usiongee na watu wengine kuuliza ushauri maana maneno yakimrudia mumeo atajisikia vibaya sana. ni vyema kabla ya kununua tu mtaani dawa, chanzo kijulikane maana unaweza nunua dawa kumbe ana tatizo tofauti na ile inakuwa solution ya muda mfupitu. inatakiwa permanent solution.
pia kujichua inaweza isiwe ni sababu japo yeye anafikiri ni sababu au anataka kukuaminisha wewe kuwa ni sababu. hivyo kukata mzizi wa fitna ni kwenda hospitali tu. Tafuta solution ya kudumu mwenzangu ukifika 30 nyege zinasumbuaga lol ndrukiiiii

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

Pole sana,usijisikie vibaya kuona ndoa itavunjika hapana,cha kufanya mshawishi muende hospital kwanza muwaone madaktari bingwa wa magojwa hayo ili mpate pa kianzia..
Lakini chond chonde usije kutangaza kwa watu,sijui mama yako,dada sijui nani….yaani shona kwanza huo mdomo wako mpate matibabiu nyie wawili uone hali ikoje….ila cha kwanza hospital!

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 27, 2016

ahsantum nitajaribu kuzungumza nae kuhusu jambo la kumuona docta.

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 27, 2016

Hilo tatizo haliwezi kuwa ni kwasababu ya masturbation kwa muda mrefu. Ingawa kila mtu anakushauri amuone Dr. ni ushauri mzuri. Ila ujitahidi kwanza kumtayarisha kisaikolojia. Huenda anakuwa amechoka sana, au apati arousal kabla hamjakutana kimwili.Jitahidi kujua ni kitu gani anapenda kabla ya tendo la nd

  • Liked by
Reply
Cancel
2 on December 28, 2016

pole sana my dear

kwa ushauri naunga hao wegine walivyoongea haswa hospitali (ni jambo jema mumeo ni muwazi).

cha pili kwa ninavyofahamu wanaume wengi wana ego, hata kama mmeo yuko wazi jaribu kumpa heshima yake  (maana anaweza jisikia vibaya au kuona ur not happy maana kila kukicha unaongelea au kufwatilia swala la sex).
hivyo nashauri jaribu weka mazingira mengine sawa labda itasaidia mfano, msifie, muondolee stress, vyakula vya nyumbani kwako viwe natural or vyenye kuongeza libido (haswa sea food), mtindi, mlonge kama walivyoongea hapo juu.

sometimes sio magoli mangapi mtu anaenda, inaweza kua moja lakini utosheke, so jaribuni foreplay ya kutosha ili akiingiza dudu mnamalizia marathon.

all the best na pole kwa gazeti hahahaha

on December 29, 2016

angel umemalizaaaaaaaa

on January 11, 2017

Muandae kisaikolojia kwanza kuhusu swala la kwenda Hosp. Mwambie jinsi gani unampenda na zaidi kuwa hili swala litabaki kuwa siri yako na yeye tu. Mungu atakusaidia ili uinjoi ndoa yako changa.

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
0 on June 2, 2017

Mpatie kikombe kidogo cha asali day n night hlf mcheki atavochange

  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies