MASWALI KWA KUNGWI HAPA

Updated on May 23, 2017 in ShostiTalk
6 on January 5, 2017

Naomba niazishe maswali kwa kungwi na wengine mtakuwa mnaongezea yenu kadiri uwezavyo.

Dear Kungwi, naomba kupata utaalamu wa kunyoa maeneo yetu wanawake kwa kutumia majivu. Niliwahi kusikia kwamba watu wa pwani hunyoa na majivu basi unakuwa kwa bibi kusoft kama kwa mtoto mchanga!
sasa sie wengine waoga kwenda huko kwenye ‘waxing’, hivyo ningependa kujua waxing hii ya asili inavyofanya kazi.

Naamini wengi tutafaidika na somo.

  • Liked by
Reply
0 on January 6, 2017

Safi Sana Mama Ushauri.

Mie sijawahi kufundwa or kujua mambo ya kufunda nasikiaga tu kwa watu.

Nikiwa kama binti bado sijaolewa ila nina serious relationship, kuna mambo gani ya muhimu unadhani nahitaji kuyatilia maanani na kufanya?

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 6, 2017

Dear kungwi, kama mwanamke unatakiwa kufanyaje kuweza kuenjoy tendo la ndoa iwapo mume au moenzi wako sio mtundu sana kitandani?

  • Liked by
Reply
Cancel
3 on January 10, 2017

mpendwa kungwi, tupe maana ya Rangi TATu za shanga mana wengine hatujui pia iwe faida kwa wengine..

on May 18, 2017

Habari sia
Binafsi sijafundwa ila katika pita pita zangu nilisikia wakisema kuwa shanga zile tatu kwa maana ya NYEUPE,NYEUSI na NYEKUNDU ni kama hv
NYEUPE inamaanisha kuwa uko safi kwa maana ya kuwa umeshamaliza mzunguko wako wa hedhi
NYEUSI ni kwa kwamba eti una mavuz** so unahitaji mumeo akunyoe
NYEKUNDU inamaanisha upo katika siku zako
Nimejaribu kukumbuka nilichoambiwa kama nimekosea mnaojua zaidi mkuje kuturekebisha nasi

on May 23, 2017

Kuna mambo mazuri huku, kungwi tupe utamu huo maana tusije tukakupa maswali mengi sana….

on May 23, 2017

Kuna mambo mazuri huku, kungwi tupe utamu huo maana tusije tukakupa maswali mengi sana….

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies