kuna ukweli juu ya hili….mugongo mugongo!!

Updated on January 11, 2017 in ShostiTalk
10 on December 7, 2016


Lol nimekutana na hii kwa whats up group ….sasa wananchi tukasema inawezekana watu wapo kwenye tiba zaidi
HAHAHAHHA nikaongea na Dr mmoja wa masuala ya kujamiiana akasema ina ukweli kabisaa, sababu inachohitajika ni kupekecha kiuno kama we mfanya mazoezi hii haikuhusu……nikasema ugphhh nimepona

  • Liked by
Reply
1 on December 14, 2016

ahahaaaa uwiii hapana jaman me kutoa gogo ni issue sasa uingizaj wahiyo ndingo inakuaje?

Verified
on December 18, 2016

Haya mazoezi yakuhusuuu la sivyo jiandae na maumivu 🤒😺😺 hizi reserch sijui zafanyiwanwapi walahi … NIMRi watusaidie 😀😀😀

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

mhh mie naonaga kama anal sex sio natural, tundu lililoumbwa kwa hiyo shughuli ni la mbele tu. so waache waje na research zao. i am sure kama ni issue ya kiuno basi chuma mboga itatatua hilo tatizo hihihihi

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

Hahahaha umeona eee mama ushauriii ukifuatilia saana utakuta ndo wale wale ….. me gym kutanihusu
Au @specialist unasemaje

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

Hapa mazoezi ndo mpango mzima,na yapo mazoez ya mugongo…..vinginevyo tutaambiwa na tusivyovijua!

  • Liked by
Reply
Cancel
1 on December 26, 2016

Nina wasiwasi na waliofanya hii research yawezekana ni wale wa mlengo mwingine.

on December 29, 2016

kina George Michael, apumzike kwa amani

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 30, 2016

Hahaha @mamaushauri inahuuuu🤦🏽‍♀️

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 3, 2017

Mmmmhhh napita tu

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on January 11, 2017

Tupige tu mazoezi yanatosha.

  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies