KIJIWE KIMEDODA JAMANI

Updated on August 21, 2017 in ShostiTalk
14 on November 23, 2016

Wapendwa tuamshe amshe kijiwe kimedoda jamani ; mimi napenda kuongea mambo ya sex tu ndio maana nimetuliza mzuka maana naona wengi humu waoga akufunguka….

Leteni topics kwa wingi kijiwe kichangamke …. wapi @zeze @Lulu @Mgagani @nagy @mjane @renee

  • Liked by
  • nagy
Reply
0 on November 28, 2016

kweli kijiwe kimedoda, ila ni jukumu letu kupafanya active. Naona watu wengi wamebanwa mtu post unapata reply baada ya week. Labda watu waongezeke.

  • Liked by
Reply
Cancel
2 on December 5, 2016

mie naona dada zeze angekiacha kiwe free user no need to register kuingia kusoma na kutoa mada for sometime alafu kikishajulikana  sana ndio akifanye kiwe private mambo ya ku log inn na kuregister.

Verified
on December 6, 2016

Sawa kabisa Queen

on December 26, 2016

Bora kibaki private ili tuliopo tukichangamshe, watu kuwa wengi sio ndio kuchangia maana hata humu tuko wengi ila wengine wanajifanya wako LIBRARY wanasoma wanaondoka hawati kuchangia wala kuleta mada.

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
5 on December 14, 2016

shoga njaman niliolewa kidogo nilikua nazoea zoea unyumba ila nalala vbayaaaaa nkishtuka usiku nakuta nimeweka tako kwenye pua ya jamaa daah…i hope nkipata mtoto ntajifunza

Verified
on December 18, 2016

Mh shost somo yako nani akufunge kamba mchagoni? Rudi kwa somoyo

on December 19, 2016

Ahahahhahha da shamim kwenye kupitiwa usingizi kuna somo 😂🤣 nshajitune

on December 26, 2016

Nagy inabidi tukurudishe mkoleni sio kwa ulalavi huo.

Verified
on December 26, 2016

Lol nipooo mie @lulu karibu

on December 26, 2016

Asante shoga @zeze nimekaribia na kwenye jamvi nimeshakaa namsubiri kungwi.

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 23, 2016

Hahahahhhhh…..pole inaonekana utotoni ilikuwa balaa!

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 29, 2016

hahah nagy umeniacha hoi! mie nlivoolewa nlikua naogopa kulala usiku eti jamaa anaweza geuka kanjawila lol

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on December 30, 2016

Kanjawila ndo nini @mamaushauri

  • Liked by
Reply
Cancel
0 on August 21, 2017

jmanii nimewamiss sana humu jaman majukumu tu ila tupo pamoja

  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies