HAPPY NEW YEAR 2017

Updated on January 11, 2017 in ShostiTalk
3 on January 1, 2017

Kwanza namshukuru Mungu kwa 2016 kwa kweli ulikua mwaka wa NEEMA  na FARAJA ya ajabu…vyote vya msingi nilivyovitamani nilimlilia MUNGU akanipatia,hivyo mwenzangu naomba usikate tamaa kabisa yupo MUNGU/ALLAH anaesikia maombi yetu.
Jamani naomba basi kijiwe safari hii kisidode maana wakati kinaanza kilikua kinavutia na kupendeza mno sasa sijui watu walishatatua shida zao kupitia  topic wakaamua waondoke kabisaaa na account wazidump.Nawatakia mwaka wenye mafanikio  tuendelee kujifunza mengi naomba neno lako kuu mwaka huu liwe MIMI NI MWANAMKE SIKUBALI KUSHINDWA. ila sijaamaanisha ushindane na MUMEO tafaaadhali kwa msisitizo kama mjomba MPOTO.NAWAPENDA

  • Liked by
  • catherine
  • malisak
  • specialist
Reply
0 on January 2, 2017

Happy New year mamie, Mungu atujaalie mwaka wenye amani, afya na mafanikio.

tujitahidi kuchangamsha kijiwe.

  • Liked by
Reply
Cancel
1 on January 3, 2017

asante

on January 11, 2017

Amen

Show more replies
  • Liked by
Reply
Cancel
Loading more replies